Mkutano wa wazazi na walimu
Unaweza kuandika ujumbe mfupi kwa wazazi hapa.
Jina la mzazi
*
Jina la mwanafunzi
*
Chagua muda wa dakika 15
*
A
Saa tisa alasiri (15:00)
B
Saa tisa na robo alasiri (15:15)
C
Saa tisa na nusu alasiri (15:30)
D
Saa kumi kasorobo alasiri (15:45)
E
Saa kumi alasiri (16:00)
F
Saa kumi na robo alasiri (16:15)
G
Saa kumi na nusu alasiri (16:30)
H
Saa kumi na moja kasorobo alasiri (16:45)
Ungependa tukutane wapi?
*
A
Darasani
B
Kwa simu ya video
Kuna jambo lolote ungependa tuzungumzie?
Shika muda huu